
KAMATI GEF YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI KIZAZI CHENYE USAWA PPRA, WIZARA YA NISHATI
Na WMJJWM-Dodoma Kamati ya Kitaifa ya Ushauri kuhusu utekelezaji wa Programu ya Kizazi chenye Usawa imeridhika na utekelezaji wa Programu hiyo kwa Wizara ya Nishati na Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) kupitia Sheria, Sera na Programu zao zilizolenga kuleta Kizazi chenye Usawa nchini. Akizungumza wakati wa kuhitimisha ziara yao mkoani Dodoma kwa…