
NMB yatoa gawio la bilioni 181 kwa wanahisa wake
WANAHISA wa Benki ya NMB wameidhinisha gawio la Sh 181 bilioni, sawa na Sh 361 kwa kila hisa moja kwa mwaka unaoishia tarehe 31 Disemba 2023. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Azimio hilo limepitishwa leo Jumatatu katika Mkutano Mkuu wa 24 wa Wanahisa wa Benki ya NMB. Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB,…