
Hii hapa mikakati ya mwenyekiti mpya wa Tamwa
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), Dk Kaanaeli Kaale ameahidi kuwa katika kipindi chake cha uongozi wa miaka mitatu miongoni mwa mambo yatakayopewa kipaumbele jitihada za kuwainua wanawake kiuchumi. Amesema kazi kubwa imeendelea kufanyika katika ukombozi wa wanawake na kuwafanya wawe na sauti, lakini hiyo haitakuwa na maana kama wataendelea…