Jafo: Miti milioni 266 imepangwa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Selemani Jafo amesema hadi kufikia Machi 2024 miti milioni 266 imepandwa katika mamlaka za Serikali za mitaa Tanzania Bara. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Dk. Jafo amesema hayo wakati akijibu maswali bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu ambapo amebainisha kati ya hiyo, miti milioni…

Read More

Serikali kuwasomesha wahudumu wa afya ngazi ya jamii

Kibaha. Serikali imekuja na mpango maalumu wa kuwanoa wahudumu wa afya ngazi ya jamii, lengo wawe na ujuzi utakaowawezesha kutekeleza majukumu yao kwa mfumo mmoja tofauti na ilivyo sasa. Wahudumu wa afya ya jamii wamekuwa wakipatikana kwa kupewa mafunzo na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali na wengine na halmashauri kulingana na mahitaji yaliyopo kwa wakati huo,…

Read More

Mativila ang’aka miradi ujenzi kutokamilika kwa wakati atoa maagizo

Naibu Katibu Mkuu anayesimamia Miundombinu katika Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhandisi Rogatus Mativila amewaagiza wahandisi washauri wanaosimamia miradi mbalimbali ya miundombinu ya barabara nchini kusimamia kwa ukaribu miradi hiyo ili ikamilike kwa wakati. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mhandisi Mativila ameyasema hayo leo tarehe 10 Juni 2024 wakati akikagua ujenzi wa jengo la ofisi…

Read More

Hamas yaitaka Marekani kuishinikiza Israel kusitisha vita – DW – 10.06.2024

Afisa huyo mwandamizi wa Hamas, Sami Abu Zuhri, ameutolea wito utawala wa Marekani kuzidisha shinikizo litakalowezesha kusitishwa kwa vita huko Gaza huku akisisitiza kuwa kundi hilo liko tayari kutathmini kwa nia njema mpango wowote utaofanikisha azma hiyo ya  kusitisha vita. Kabla ya Blinken kuelekea Israel katika ziara yake ya nane eneo hilo, atafanya kwanza ziara nchini…

Read More