
Maabad aziingiza vitani Coastal, Tabora United
MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Maabad Maabad ameziingiza vitani Tabora United na klabu anayoichezea sasa aliyomaliza nayo mkataba, baada ya kila upande kutaka kupata huduma yake, Wagosi wakitaka kumbakisha na Tabora kumbeba ili kwenda kuboresha safu ya ushambuliji ya kikosi hicho cha Nyuki wa Tabora. Maabad anaitumikia Coastal kwa msimu wa tatu sasa katika Ligi Kuu…