
Wasichana wanavyotumia ‘ndoa’ kutafuta uhuru na janga la talaka-2
Katika mijadala mingi, wazazi na wataalamu wa malezi wanakubaliana kuwa talaka inaweza kuwa na athari kubwa kwa watoto kwa sababu wanapitia mabadiliko makubwa katika mazingira yao ya nyumbani yanayoweza kuwasababishia msongo wa mawazo, huzuni na wakati mwingine hata matatizo ya kiakili na kihisia. Tafiti zinaonyesha watoto wa wazazi waliotalakiana mara nyingi hukumbwa na changamoto kadhaa,…