Wanawake waoneshwa njia kushika nyadhifa za juu viwandani

Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa, kujiamini, kujitambua na ushirikiano kwa wanawake ni mongoni mwa mambo yatakayochochea kundi hilo kufikia maendeleo mbalimbali ikiwamo ya uongozi mahiri sehemu za kazi hasa katika sekta ya uzalishaji viwandani. Kuhamasisha wanawake kiuongozi, pia ni sehemu ya juhudi za kimataifa  kama vile Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs),…

Read More

Miili ya wanakwaya sita Same yaagwa, kuzikwa kesho Chome

Same. Miili sita ya wanakwaya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Mmeni Chome, Dayosisi ya Pare waliofariki kwa ajali ya gari wilayani Same mkoani Kilimanjaro imeagwa leo Aprili Mosi, 2025. Ajali hiyo ilitokea Machi 30, 2025 eneo la barabara ya Bangalala, wakati wanakwaya hao wakitokea Chome kuelekea Vudee kuinjilisha. Gari walilokuwa…

Read More

ACT Wazalendo wapinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi serikali za mitaa

Chama cha ACT Wazalendo kwa kushirikiana na Asasi za Kiraia kinatarajia kufungua kesi kuzuia hatua za maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa zinazoendelea kuchukuliwa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).  Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Pia kimesema kitaenda kwenye kikao cha wadau kilichoitishwa tarehe 15 Juni 2024 Dodoma kuieleza TAMISEMI…

Read More

Burkina Faso yachomoa bao ‘jiooni’

Bao la dakika ya 90 lilifungwa na Aboubacar Troure wa Bukina Faso lilizima matumaini ya Harambee ya Kenya kushinda mchezo wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi 2025 baada ya kutoka sare ya 1-1 katika pambano kali la michuano hiyo kwenye Uwanja wa Gombani, kisiwani hapa. Mchezo huo ambao ulipigwa juzi usiku na kuhudhuriwa na mashabiki…

Read More

Takukuru yawapa neno vijana, kina mama kurubuniwa na wagombea

Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imewataka vijana na kina mama kushiriki katika kudhibiti na kupambana na rushwa kwa kutoa taarifa pindi wagombea wanapowashawishi wawachaguliwe kwa kutoa rushwa. Akizungumzia leo Jumanne, Julai 9,2024 kuhusu udhibiti wa vitendo vya rushwa kwenye uchaguzi katika Kipindi cha Elimu Jamii cha Redio Maria kutoka…

Read More

RC SENYAMULE:USHIRIKA UMEIMARIKA NA KUTUMIA MIFUMO YA KIDIGITALI

  Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amesema kwasasa Ushirika umeimarika kwakuwa na Mifumo ya kisasa ya kidigitali ambayo inachangia uwazi katika utendaji wa Vyama vya Ushirika. Mhe. Senyamule amebainisha hayo Agosti 6, 2025 wakati akitembelea mabanda mbalimbali ya Vyama vya Ushirika katika kijiji cha Ushirika kwenye Maonesho ya Wakulima Nanenane Jijini Dodoma….

Read More