
Lugalo ipo tayari kwa Gofu Moro
MAPRO ndio wataanza kucheza mashindano ya Gofu yaliyoandaliwa na klabu ya Morogoro Gymkhana, yatakayoanza Juni 14-16, huku Brigedia Jenerali Mstaafu, Michael Luongo akiweka wazi namna walivyopania mashindano hayo huku akikiri ugumu wa viwanja vya mchezo huo mkoani humo. Mapro watacheza siku moja (Juni 14), ili siku mbili zitakazofuata (15-16) iwe zamu ya wachezaji wa ridhaa…