
Vita DRC vyaacha kilio kwa wafanyabiashara Tanzania
Dar es Salaam. Mapigano yanayoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC) yametajwa kuathiri biashara kati ya Tanzania na nchi hiyo huku Chama cha Wamiliki wa Malori Tanzania (Tatoa) kikiiomba Serikali kuwapatia ulinzi waweze kushusha mizigo na kurudisha magari yaliyokwama nchini humo. Inaelezwa kuwa malori karibu 100 yakiwa na shehena za mizigo yaliyotoka hapa nchini yamekwama DRC…