
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 10,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 10,2024 Featured • Magazeti About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 10,2024 Featured • Magazeti About the author
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amesema maafa yakitokea yanarudisha nyuma uwezo wa Serikali kuwahudumia wananchi, hivyo ushiriki wa taasisi za kijamii ni muhimu katika kuisaidia kulinda ustawi wa maisha ya raia na maendeleo kwa ujumla. Amesema kwa kutambua hilo Serikali ina maono kupitia sheria…
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Ally Bananga akizungumza kwenye maadhimisho ya miaka miwili ya kuanzishwa kwa Taasisi ya Kupinga vitendo vya rushwa ACVF iliyofanyika katika Ukumbi wa Ubungo Plaza Jijini Dar es Salaam Kaimu Afisa Usalama Barabarani (RTO) Kinondoni ASP Notker Kilewa akizungumza kwenye hafla hiyo ambapo amekemea utoaji na upokeaji…
Dodoma. Kampuni ya Gesi ya Oryx Tanzania kwa kushirikiana na wabunge wanawake, wamemtunuku tuzo maalumu, Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wake katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia. Tuzo hiyo imetolewa leo Jumapili Juni 9 mjini Dodoma katika siku ya gesi ya kimiminika ya petroli duniani na Spika wa Bunge. Akizungumza katika hafla…
Morogoro. Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kupitia kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wake, Dk Momole Kasambala imetangaza mpango wake wa kuhakikisha wanafunzi wenye mahitaji maalumu wanaosoma kwenye vyuo vya taasisi hiyo, wanapata mafunzo ya teknolojia kama wanafunzi wengine. Imesema lengo ni kutaka wakidhi mahitaji ya soko la ajira na kujiajiri wenyewe. Akizungumza na Mwananchi Digital leo…
Katika mahojiano ya hivi majuzi, Oleksandr Usyk alimtaja mmoja wa uzito wa juu ambaye anaamini anaweza kumshinda, na mpiganaji huyo ni Muhammad Ali. Licha ya mafanikio yake ya ajabu katika ulimwengu wa ndondi na kuchukuliwa kuwa mmoja wa wakubwa wa kizazi chake, Usyk alionyesha heshima yake kwa urithi na ustadi wa Ali kwa kukiri kwamba…
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Naibu Waziri wa Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi, amempongeza Mbunge wa Segerea, Bonnah Kamoli, kwa kuandaa mashindano ya vijana na kutoa wito kwa jamii kuisaidia Serikali kuhakikisha kundi hilo ambalo ndiyo nguvu kazi ya taifa inalindwa. Mashindano hayo yaliyoanza kutimua vumbi Aprili 5,2024 yameshirikisha timu 61…
Dar es Salaam. Wakati msukumo mkubwa wa kielimu uliowekwa kwa watoto wa kike ukitajwa kuwa sababu ya idadi ya wasichana wanaokacha masomo vyuoni kupungua, kutomudu masomo ya kozi walizochagua imetajwa kuwa moja ya sababu za anguko la wengi. Hayo yamesemwa na wadau wa elimu wakati ambao takwimu za Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania ya mwaka…
Dar es Salaam. Licha ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupiga marufuku uuzaji wa ardhi kupitia kampuni za madalali zenye mabango katika maeneo mbalimbali nchini, wadau wamesema hatua hiyo haitakuwa muarobaini wa utapeli na migogoro katika sekta ya ardhi. Marufuku ya uuzaji wa ardhi kupitia kampuni hizo za udalali, imetolewa jana Juni…
WADAU wa Elimu nchini waaswa kutumia ubunifu mbalimbali kuhakikisha wanaongeza ufaulu na Kurahisisha nyezo za Watoto Mashuleni Kujifunza kwa Kutumia mifumo ya Teknolojia. Akizungumza na Wanahabari Mkurugenzi wa Utafiti Habari katika Machapisho ya Elimu Nchini(TIE) Kwangu Zabron mara baada ya Kutambulishwa kwa program mpya Kusaidia Matumizi ya Teknolojia,Mawasiliano na Habari katika Elimu (SMART DARASA) amesema…