
BoT yaja na mfumo wa kukomesha mikopo umiza
Dodoma. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amezindua mfumo mpya wa kifedha unaolenga kushughulikia na kutokomeza changamoto zinazowakabili watumiaji wa huduma hizo ikiwamo suala la mikopo umiza na kausha damu. Mfumo huo umetajwa kuwa sehemu ya juhudi za Serikali kuhakikisha kunakuwapo na uwazi, uadilifu na ulinzi kwa wateja wa huduma za kifedha, hususan wale wanaoathirika…