
Kasi ongezeko maambukizi ya kaswende yashtua
Dar es Salaam. Wataalamu wa afya wameishauri Serikali ipambane na kasi ya ongezeko la magonjwa ya zinaa nchini, huku kaswende ikitikisa zaidi. Kaswende husababisha magonjwa ya moyo, upofu, ugumba, mzio wa ngozi, ganzi mwilini na athari zingine. Kwa mujibu wa wataalamu hao, kaswende inakuwa tishio zaidi kwa kuwa aliyeambukizwa anaweza kuishi na maambukizi hayo hata…