
Huu hapa msimamo wa CCM kuhusu ‘No reform, No election’
Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa msimamo wake kuhusu kampeni ya No Reform, No Election (bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi) ya Chadema kikisema, chama kimoja hakitaweza kuzuia uchaguzi kufanyika. Katika msisitizo wake kuhusu hilo, CCM kupitia kwa Katibu wake wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla kimesema kwa kuwa uchaguzi ni…