TETESI: Manu Lobota atajwa Yanga

YANGA inahusishwa kuhitaji huduma ya straika mkongomani, Emmanuel Bola Lobota kutoka Ihefu. Lobota aliyejiunga na Ihefu katika dirisha dogo la msimu uliopita akitokea FC Saint Eloi Lupopo ya DR Congo amekuwa kwenye mawindo ya Yanga tangu mwanzoni mwa msimu uliopita. Nyota huyo kabla ya kutua Ihefu, alishafanya mazungumzo na Yanga na Singida Fountain Gate, lakini…

Read More

Kujenga viwanda, kutafuta masoko vipaumbele wizara ya biashara

Unguja. Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda, imepanga kutekeleza vipaumbele katika maeneo makuu matatu kwa mwaka wa fedha 2024/25. Maeneo hayo yanalenga kuimarisha sekta ya viwanda, biashara na kutafuta masoko pamoja na kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara na utoaji huduma.  Hayo yamesemwa jana Jumamosi Juni 8, 2024 na Wizara ya Biashara na Maendeleo ya…

Read More

FGA Talents yarudi upya ikiisaka Ligi Kuu

KLABU ya FGA Talents inaendelea na mchakato wa kubadili jina, huku uongozi wa timu hiyo umesema mkakati wao ni kuitafuta Ligi Kuu msimu ujao na kuthibitisha makazi yao rasmi kuwa mjini Songea. FGA Talent ilikuwa na makazi yake jijini Dodoma, ambapo mwishoni mwa msimu uliomalizika hivi karibuni wa Championship ilicheza mechi mbili katika uwanja wa…

Read More

Aomba msaada mtoto wake atibiwe uvimbe tumboni, mumewe amkimbia

Morogoro. Mkazi wa Kitongoji cha Msufini kilichopo katika Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, Leokadia Said (28) amewaangukia Watanzania na Serikali akiomba msaada wa matibabu ya mwanaye mwenye uvimbe kwenye kitovu. Uvimbe huo umesababisha ukuaji wa mtoto huyo, Mastidia Derick, mwenye umri wa miezi sita kuzorota na hivyo kuhitaji matibabu ili kurejesha afya yake na ukuaji…

Read More

Chanda hakinenepi siku ya kuvishwa pete

Wanasema mbuzi hanenepi siku ya mnada. Kama hukumlisha vizuri pale mwanzoni, usitegemee awe na afya njema iwapo utamlazimisha kula ili anenepe wakati wa kwenda sokoni.  Utaingia hasara kwani atakula misosi ambayo huwezi kumudu gharama zake hata ukijitoa outing, lakini kamwe hutoweza kuongeza thamani yake kiafya. Na utakapompeleka sokoni atakuwa ni yuleyule ambaye hukumpa chakula bora….

Read More

Bei ya Petroli, dizeli yashuka mafuta ya ndege yapaa

Unguja. Bei ya mafuta ya petroli na dizeli imeshuka, huku mafuta ya ndege yakiongezeka bei kisiwani hapa. Bei ya petroli imeshuka kutoka Sh3,182 kwa lita moja hadi Sh3,132 ikiwa ni tofauti ya Sh50 sawa na asilimia 1.6. Dizeli kwa Juni, itauzwa Sh3,068 kutoka Sh3,146, ikiwa kuna tofauti ya Sh178 sawa na asilimia 2.5. Bei hizo…

Read More

Zimamoto Moro yataka timu Ligi Kuu

KAMANDA wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro, Shaaban Marugujo amesema yuko katika harakati za kusajili timu ya jeshi hilo itakayoshiriki mashindano mbalimbali hapa nchini ikiwa ni pamoja na kucheza Ligi Kuu kama ilivyo kwa timu za taasisi nyingine hapa nchini. Akizungumza na Mwanaspoti, Kamanda Marugujo amesema hadi sasa timu hiyo imeshaanzishwa na…

Read More

Dkt Biteko awataka wazazi kupeleka watoto shule.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza wazazi na walezi kuhakikisha watoto wao wanapata elimu kwa kuwa ndio nguzo ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Amesema hayo Juni 7, 2024 wakati akihutubia mkutano wa wananchi katika Shule ya Msingi Bufanka…

Read More

Kitanzi chamng’ang’ania bodaboda aliyeua mwenzake na kumzika

Mtwara. Kitanzi kimemng’ang’ania, ndivyo unaweza kuelezea uamuzi wa Mahakama ya Rufani, kubariki adhabu ya kifo kwa dereva bodaboda, Lucas Wage, aliyemuua dereva bodaboda mwenzake, kuchimba shimo na kisha kumzika. Tukio hilo la kikatili lililofanywa kwa usiri mkubwa na dereva bodoboda huyo dhidi ya dereva bodaboda mwenzake aitwaye, David Dominick, lilitokea Mei 24, 2019 eneo la…

Read More