
Dorothy Semu alivyozuiwa kuingia Kisutu
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amejikuta kwenye majibizano na askari wa Jeshi la Polisi akiwa nje ya jengo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Semu alikuwa mahakamani hapo leo Alhamisi, Aprili 24, 2025 ambapo kesi mbili ya uhaini na ile ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni zinazomkabili Mwenyekiti…