
Mo Dewji aibua kitendawili kipya
LICHA ya sintofahamu kinachoendelea Simba SC, Rais wa Heshima na Mwekezaji mwenza wa klabu hiyo, Mohamed ‘Mo’ Dewji ameibuka na kitendawili ambacho kinawaweka njia panda mashabiki na wanachama wa klabu hiyo. Simba imekuwa katika sintofahamu kwa kipindi cha siku tatu mfululizo, huku wajumbe wa bodi upande wa wanachama wakifichua namna wanavyopata wakati mgumu wa kuafiki…