
KenGold: Morrison kuvaa uzi wa Simba ni uzalendo
Uongozi wa KenGold umesema kitendo cha nyota wa timu hiyo, Bernard Morrison kuonekana akiwa na jezi ya Simba ilihali ana mkataba na timu hiyo wanalichukulia kizalendo kwa kuwa Wekundu hao waliwakilisha nchi kimataifa. Morrison aliyewahi kucheza Yanga na Simba kwa misimu tofauti, alijiunga na KenGold dirisha dogo na hadi sasa bado ana mkataba hadi mwisho…