
RITA yaibua ubadhirifu wa bilioni 1 msikiti Mwanza
WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini nchini (RITA), imebaini ubadhirifu mkubwa wa kiasi cha Sh bilioni moja katika Msikiti wa Ijumaa uliopo Jijini Mwanza na hatua za kisheria zimeshaaza kuchukuliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mwanza …(endelea). Akizungumza katika ziara yake mkoani Mwanza mwishoni mwa wiki, Kabidhi Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA, Frank Kanyusi…