
Walioingilia mfumo ya benki, kujipatia Sh2 bilioni wakosa dhamana
Dar es Salaam. Raia wa Ghana, Valentine Kofi (45) na Watanzania watatu, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka manne likiwemo la kuingilia mfumo wa benki na kuiba Sh2bilioni, mali ya benki ya Banc ABC. Mbali na Kofi ambaye ni mkazi ya Mikocheni washtakiwa wengine ni Patrick Tarimo(34) mkazi wa Kibaha, Aisha…