
WATENDAJI SERIKALINI WATAKIWA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaagiza watendaji wa Serikali nchini kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Akizungumza leo Juni 8, 2024 katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Katome, Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Dkt. Biteko amesema ni wajibu wa…