
WANAFUNZI CHANGAMKIENI FURSA YA MIKOPO – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mikopo Dk Bill Kiwia amewataka wanafunzi kujitokeza zaidi kuomba mkopo kabla dirisha halijafungwa huku zikiwa zimebaki siku 30 ambapo ni sawa na mwezi. Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wanahabari Dkt.Bill amesema wanafunzi wanatakiwa kuchangamkia fursa hiyo huku wakitakiwa kufuata miongozo iliyowekwa na bodi katika kuomba mkopo Kwa mujibu wa bodi…