
Sugu aililia rasimu Katiba ya Warioba
Mbeya. Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu, ameshauri namna ya kuunasua mchakato wa Katiba, akitaka rasimu ya Katiba iliyoandaliwa na Tume ya Jaji Joseph Warioba irejeshwe ili ipigiwe kura na wananchi. Sugu amesema hatua hiyo itasaidia kuokoa mabilioni ya fedha yaliyotumika katika mchakato wa mabadiliko ya Katiba ambayo…