
Sababu 10 zatajwa kuchangia afya ya akili kwa wanaume
Dar es Salaam. Wataalamu wa saikolojia tiba wamesema ongezeko la matukio ya kuua, kujiua na changamoto ya afya ya akili miongoni mwa wanaume, inachangiwa na ukimya miongoni mwa jinsia hiyo. Wameeleza umuhimu wa jamii kuwapa wanaume mazingira salama ya afya zao za akili, ikiwemo ‘kufunguka’ bila kuhukumiwa, ili kuwalinda na matokeo hasi ya msongo wa…