
Shule Iringa zalia uhaba wa walimu wa Tehama
Iringa. Uhaba wa walimu wenye ujuzi wa kufundisha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), umetajwa kuwa kikwazo cha wanafunzi wa shule za sekondari mkoani Iringa kujifunza teknolojia hiyo. Karibu shule nyingi za sekondari za Mkoa wa Iringa zimeanzisha madarasa ya Tehama kutokana na uwepo wa kompyuta. Hivi karibuni, shirika linalolenga kukuza ujuzi wa Tehama shuleni…