
Straika mpya Simba ashtua, Freddy Koublan atajwa!
TAARIFA za Simba kusajili straika mpya kipindi hiki muda mchache kabla ya dirisha kufungwa kesho Alhamisi, zimeshtua wengi, lakini mshtuko zaidi umekuja kwa mchezaji mwenyewe ambaye anatajwa kumalizana na timu hiyo. Leonel Ateba raia wa Cameroon kutoka USM Alger, ndiye anayetajwa kumalizana na Simba akipewa mkataba wa miaka miwili. Straika huyo ana kibarua kigumu cha…