Alichokisema Malisa baada ya kuachiwa kwa dhamana

Moshi. Mwanaharakati, Godlisten Malisa ameachiwa kwa dhamana, huku  akisema misukosuko anayoipata,   haitamrudisha nyuma kwenye harakati za kutetea haki za wananchi, kwa kile alnachoeleza kuwa  yupo sahihi na anachokifanya. Malisa aliyekamatwa Juni 6 jijini Dar es Salaam, aliachiwa jana kwa dhamana mkoani Kilimanjaro baada ya kuhojiwa na maofisa wa Polisi,  akituhumiwa kwa makosa matatu aliyotenda kupitia…

Read More

Ramaphosa katika mtanziko Afrika Kusini

Katika Uchaguzi Mkuu wa Mei 29, 2024 nchini Afrika Kusini, chama tawala cha African National Congress (ANC) kilikabiliwa na changamoto kubwa zaidi kuwahi kutokea tangu kumalizika kwa utawala wa ubaguzi wa rangi. Matokeo ya uchaguzi huo yalionyesha kuporomoka kwa umaarufu wa ANC, hivyo kukosa wingi wa kura unaohitajika kuunda serikali peke yake. Hali hii imekilazimu…

Read More

CCM YASISITIZA UMUHIMU WA KUKUZA SEKTA BINAFSI,UWEKEZAJI

Na Mwandishi Wetu,Tanga CHAMA Cha Mapinduzi (CCM)kimesema kwamba hakutakuwa na mabadiliko ya kweli katika kukuza uchumi wa nchi, endapo sekta binafsi hazitapewa kipaumbele katika uwekezaji nchini. Hayo yamesemwa leo Juni 8, 2024 jijini  Tanga na  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi alipokuwa akizindua Kiwanda cha kuzalisha nyaya za umeme na…

Read More

Simulizi binti alivyochomwa moto kwa tuhuma za wizi

Mwanza. “Saa sita usiku wa kuamkia Jumapili, nilipokea simu nikaelezwa mdogo wako ana shida. Nikakodi pikipiki, nilipofika kwa bibi nikabaini ameunguzwa kwa moto.” Ndivyo anavyoanza simulizi Joseph Semando, mkazi wa Kijiji cha Idetemiha, Kata ya Usagara akisimulia tukio la mfanyakazi wa ndani kumwagiwa mafuta ya taa na kuchomwa moto. Tukio hilo alilotendewa Grace Joseph (17)…

Read More

TWFA Mwanza yapata mabosi wapya

SOPHIA Tigalyoma amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa Chama cha Soka la Wanawake (TWFA) Mkoa wa Mwanza akimbwaga aliyekuwa mtetezi wa kiti hicho Sophia Makilagi. Tigalyoma amerejea kwenye nafasi hiyo tena baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi huo uliofanyikwa leo Jumamosi kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuanzia saa 4:00 hadi 4:50 asubuhi kwa…

Read More