
Tanzania Yaharakisha Malengo ya Nishati Safi ya Kupikia ya 2034 kwa Kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya Matumizi ya Nishati ya Kupikia ya Umeme
Wizara ya Nishati, kwa ushirikiano na Modern Energy Cooking Services (MECS) na UK International Development, wamezindua rasmi Kampeni ya Kwanza ya Kitaifa ya Uhamasishaji wa Nishati ya Umem ya Kupikia (eCooking) nchini Tanzania. Mpango huu wa kihistoria ni sehemu muhimu ya Mpango wa MECS wa kukuza na kusaidia nishati ya umeme unaofadhiliwa na UKAid, ambao…