Dart yaomba radhi kuchelewa mwendokasi Mbagala, kuanza Septemba 15
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (Dart), Dk Athumani Kihamia, katika mahojiano na kituo cha runinga cha Clouds ameomba radhi wananachi kwa ucheleweshaji huo, huku ikieleza sababu ya kuchelewa ni kuhakikisha vitu vyote vinavyohitaji kabla ya mradi kuanza viwe vimekamilika kwa ufasaha. Amesema kuhusu maandalizi ya kuelekea kuanza kutoa huduma kwa mabasi hayo…