ISLANDS OF PEACE YAZINDUA MRADI WA “AGRO KILIMO” KUWEZESHA VITUO VYA MAFUNZO YA KILIMO NCHINI

Farida Mangube, Morogoro Shiriki la kimataifa lisilo la Kiserikali la Islands of Peace Tanzania wameeleza mpango wa kuongoza mageuzi makubwa kwenye sekta ya Kilimo kwa kuviwezesha vituo mbalimbali vinavyotumika kutoa mafunzo ya mbinu bora za kilimo kwa wakulima kupitia mradi wake wa AGRO KILIMO uliopangwa kutekelezwa kwa kipindi cha miaka miwili. Akizindua mradi huo, Balozi…

Read More

Ussi: Walimu, madaktari waheshimiwe kazi yao ngumu

Musoma. Watanzania wametakiwa kuwaheshimu na kuwathamini walimu na madaktari nchini kwa maelezo kuwa kazi zao ni ngumu pia zinahitaji moyo wa upendo, utu, uzalendo na kujitolea ili kutimiza wajibu na majukumu yao. Wito huo umetolewa mjini Musoma leo Jumapili Agosti 17,2025 na Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, Ismail Ussi wakati wa uzinduzi…

Read More

Fanya haya kumsaidia mtoto kuwa mbunifu

Ubunifu ni uwezo wa kufikiri, kutafuta majibu, au kutatua changamoto kwa namna isiyotarajiwa. Unamsaidia mtu kupambana na changamoto zake kwa namna nyepesi, bila ubunifu ni vigumu kwa mtu kuendana na mabadilikotunayokabiliana nayo kila siku yanayohitaji majibu mapya. Maandiko mbalimbali kuhusu masuala ya malezi yanaeleza kuwa ubunifu ni uwezo unaotegemea mazingira ya kimakuzi anayokutana nayo mtoto….

Read More

Nchi 15 Umoja wa Ulaya zaguswa mauaji, ukatili Tanzania

Dar es Salaam. Mataifa mbalimbali duniani yameeleza kusikitishwa na taarifa za vitendo vya ukatili, kupotea, vifo dhidi ya wanaharakati wa haki za binadamu na kisiasa nchini, huku yakisisitiza uchunguzi wa haraka kubaini wanaohusika. Masikitiko ya mataifa hayo 15 yanayounda Umoja wa Ulaya (EU) yaliyotolewa na balozi zao zilizopo nchini, yameisihi Serikali kuhakikisha ulinzi wa wapinzani…

Read More

Yanga Oktoba freshi, balaa limeanzia huku

YANGA imeuanza Novemba na mguu mbaya baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo tena ikiwa nyumbani, ikianza kwa kuchapwa 1-0 na Azam kabkla ya juzi kufumuliwa na Tabora United kwa mabao 3-1. Kipigo cha Tabora ni cha kwanza kikubwa kwa Yanga ndani ya miaka minne katika Ligi Kuu, kwani mara ya mwisho ilifungwa 3-0 na Kagera…

Read More

Yanga ikimuacha tu, anatua msimbazi

DURU za ndani kabisa, zinasema Simba imenasa antena zake Jangwani ambako lolote linaweza kutokea kati yao na Kennedy Musonda wa Yanga. Habari zinasema kwamba Yanga huenda ikaachana na Musonda muda wowote baada ya kumalizana na gwaride la ubingwa ili nafasi yake wanunue chuma kingine wanachodai kina takwimu za kuvutia. Kumbuka Musonda ambaye ni raia wa…

Read More