
Othman ahamasisha mageuzi matumizi ya rasilimali
Pemba. Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema wananchi hawapaswi kukata tamaa badala yake washirikiane kupigania mageuzi yatakayosaidia kuzitumia rasilimali zilipo nchini na kuleta neema ya kiuchumi. Othman ameyasema hayo Juni 7, 2024 katika Baraza ya Mtemani Wete, iliyopo Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, alipozungumza na wafanyabiashara wadogowadogo, wanabaraza na wananchi….