
Mtaalamu ashauri ruzuku iwepo kushughulikia bima ya afya kwa wote
Dar es Salaam. Licha ya serikali kubainisha vyanzo nane vya tozo kuchangia bima ya afya kwa wote kwa wasio na uwezo, mtaalamu ameshauri kuwa ili mfuko uwe na uhimilivu, itengeneze njia ya wengi kuingia kwenye mfumo na kuwa na ruzuku ya mfuko kwa kuweka kodi mahususi zitakazoenda moja kwa moja kwenye matibabu. Hatua hiyo itasaidia…