WAKAZI WA KIGOMA WAASWA KUJIHADHARI NA MIKOPO KAUSHA DAMU

Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma, Kanal Anthony Mwakisu amewataka Wananchi kukopa kwenye taasisi za fedha zilizosajiliwa na Serikali na kutambulika kwa kuwa itasaidia kutatua changamoto zinazoweza kujitokeza kwa mkopaji kwa kuwa taasisi hizo zinaendeshwa kwa mujibu wa Sheria. Kanalı Mwakisu alitoa rai hiyo baada ya kukutana na wataalam…

Read More

WANANCHI WA BUKOMBE WAPEWA SOMO KUHUSU ELIMU

Na Mwandishi Wetu, Bukombe. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza wazazi na walezi kuhakikisha watoto wao wanapata elimu kwa kuwa ndio nguzo ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Amesema hayo Juni 7, 2024 wakati akihutubia mkutano wa wananchi katika…

Read More

TAREA YAOMBA UWAKILISHI WA REA, MAPITIO YA SERA YA NISHATI

Kamishina wa Umeme na Nishati Jadidifu Tanzania, Mhandisi Innocent Luoga akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Nishati Jadidifu  (REW) Mwaka 2024. Kushoto kwake ni Meneja Mafunzo wa sun king – Tanzania ambao ni wadhamini wakuu wa REW, Immaculate Shija na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wadau wa Nishati Jadiditu Tanzania (TAREA), Mhandisi Prosper…

Read More

Rais Samia awatembelea wakulima wa wilaya ya Namtumbo.

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa matrekta matatu yenye thamani ya Tsh. 246,000,000 yenye jembe la kulimia, jembe la haro pamoja na tela katika Wilaya ya Namtumbo kwa lengo la kukuza kilimo katika Wilaya hiyo. Rais Samia ametoa matrekta hayo kupitia Wizara ya Kilimo ambapo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas…

Read More

Asimulia alivyopata ulemavu, kukimbiwa na mke wake

Morogoro. Oktoba 14, 2023 haitasahaulika katika maisha ya Lucas Mhomba, mkazi wa Dumila wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Alivamiwa na watu wasiojulikana akajikuta akipoteza miguu yote miwili na mikono yote. Mhomba (24), akizungumza na Mwananchi anasema alikuwa dereva bodaboda alipofikwa na kadhia hiyo. “Nilikuwa nafanya shughuli zangu hapa Dumila, Oktoba 14 niliamka asubuhi kuendelea na…

Read More

Taifa Stars ipo tayari kuivaa Zambia

TAIFA Stars jana ilijifua kwa mara ya mwisho katika kujiandaa na mchezo wa tatu wa kuwania kufuzu ushiriki wa fainali za Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Zambia utakaopigwa Jumanne, huku mastaa karibu wote wakionyesha wanaitaka mechi hiyo itakayopigwa ugenini. Jana asubuhi kikosi hicho chini ya makocha Hemed Suleiman ‘Morocco’ na Juma Mgunda kilipiga tizi…

Read More

Kiraka Azam huyoo anukia Al Hilal

BAADA ya kumaliza mkataba wa kuitumikia Azam FC, kiraka Edward Charles Manyama anatarajia kutimkia Al Hilal ya Sudan tayari kwa kukipiga huko msimu ujao. Manyama juzi kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook aliwaaga mashabiki, wachezaji na viongozi wa timu hiyo akithibitisha kumaliza mkataba na timu hiyo aliyoitumikia kwa mkataba wa miaka miwili….

Read More

Ufaransa kuifunza Ukraine kutumia ndege za kivita za Mirage – DW – 08.06.2024

Macron Amesema hayo baada ya mazungumzo na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky katika makazi ya rais ya Élysée jijini Paris. Macron hata hivyo bado hajaainisha idadi ya ndege ambazo Ufaransa na mataifa mengine wanataraji kuzipeleka Ukraine ambayo inapambana na Urusi. Soma pia: Macron na Scholz wazungumzia mzozo wa Ukraine Ufaransa bado inahitaji kuhitimisha mchakato huo kwa…

Read More