JKT yachemsha Bara, ila kazi ipo huku

MAAFANDE wa JKT Tanzania kupitia kocha mkuu, Ahmad Ally wamekiri wamechemsha kwa kushindwa kufikia malengo ya Ligi Kuu ya kumaliza ndani ya 5-Bora, lakini kilichobaki kwa sasa wanaelekeza nguvu zote katika Kombe la Shirikisho (FA) ili wakate tiketi ya Kombe la Shirikisho Afrika. JKT inayoshika nafasi ya saba kwa sasa imesaliwa na mechi tatu za…

Read More

Sh43 milioni za AHF kuimarisha udhibiti maambukizi ya Ukimwi

Musoma. Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na mapambano dhidi ya Ukimwi, Healthcare Foundation (AHF), limekabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh43 milioni kwa ajili ya kuimarisha juhudi za kudhibiti maambukizi ya Ukimwi katika Mkoa wa Mara. Msaada huo unaojumuisha pikipiki, kompyuta, printa, simu za mkononi, luninga na vifaa vingine, umetolewa kwa…

Read More

Vipaumbele vinne vya Profesa Janabi WHO

Dar es Salaam. Mgombea wa Tanzania katika nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Profesa Mohamed Janabi, ameainisha vipaumbele vinne atakavyovitekeleza iwapo atachaguliwa kushika wadhifa huo.  Profesa Janabi ambaye ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo, amekuwa na mchango mkubwa katika kuboresha sekta ya afya nchini na duniani. Amehudumu kwa…

Read More

Kaya 902 zaachwa bila makazi Moshi

Moshi. Zaidi ya kaya 902 zimebainika kuathiriwa na mafuriko ya mvua wilayani Moshi, Mkoani Kilimanjaro baada ya kufanyika kwa tathmini ya awali. Mafuriko hayo yalitokea juzi Alhamisi Aprili 25, 2024 baada ya kunyesha kwa mvua kubwa na kusababisha vifo vya watu saba wakiwemo wanne wa familia moja. Hayo yamesemwa leo Jumamosi Aprili 27, 2024 na…

Read More