Diwani abanwa kwa kutotaja mali, madeni yake

Dodoma. Diwani wa Kata ya Cheyo mkoani Tabora, Yusuph Kitumbo amefikishwa Mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha tamko la rasilimali na madeni kwa miaka minne huku yeye akijitetea kuwa alikuwa anahudhuria kliniki kwa miaka mitatu mfululizo. Kitumbo ametoa utetezo huo leo Juni 7, 2024 mbele ya Mwenyekiti…

Read More

Polisi waendelea kumng’ang’ania Malisa | Mwananchi

Moshi. Wakati Jeshi la Polisi likiendelea kumshikilia Godlisten Malisa, mwanaharakati na mkurugenzi wa GH Foundation katika Kituo Kikuu cha Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro, Msemaji wa Taasisi hiyo, James Mbowe amedai kuwa mwanaharakati huyo amepata changamoto za kiafya akiwa kituoni hapo.  Malisa alikamatwa jana Juni 6, 2024 muda mfupi baada ya kesi inayowakabili yeye na meya…

Read More

Waziri aelekeza wenye kipato duni wapate msaada wa kisheria

Mbeya. Waziri wa Sheria na Katiba, Pindi Chana ameagiza  wasaidizi wa kisheria ngazi za jamii kuboresha upatikanaji wa haki kwa wananchi wasio na uwezo ili kutatua changamoto za mirathi, migogoro ya ardhi, ndoa na ukatili wa kijinsia. Sambamba na hilo, ameagiza taasisi na mashirika ya kidini yanayotoa huduma yasajiliwe na kuingizwa kwenye mifumo ya kidijitali,…

Read More

PURA yashiriki hotuba ya bajeti Zanzibar

Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeshiriki kama mgeni mwalikwa katika wasilisho la hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi kwa mwaka 2024/2025. Wasilisho hilo ndani ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar limefanywa Juni 07, 2024 na Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi, Mhe….

Read More