Chadema yadai kushikiliwa viongozi wake, Polisi yakana

Dar es Salaam. Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikidai kukamatwa na Jeshi la Polisi na kuendelea kushikiliwa kusikojulikana watu watatu wakiwamo viongozi wa wawili wa chama hicho wilayani Temeke kinyume cha sheria, Jeshi hilo limesema halina taarifa kuhusu madai hayo. Kwa mujibu wa Chadema viongozi hao wana siku ya tatu sasa tangu wakamatwe…

Read More

MAKAMU WA RAIS AKIONDOKA NCHINI LESOTHO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mashoeshoe mjini Maseru nchini Lesotho mara baada ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sherehe za Miaka 58 ya Uhuru wa Lesotho na Miaka 200 ya…

Read More

Bodaboda alivyoepa kitanzi kesi ya mauaji ya mkewe

Arusha. Mahakama ya Rufaa imemuachia huru Baraka Jeremiah, dereva wa bodaboda aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kutiwa hatiani kwa mauaji ya mkewe, Hawa Baraka. Jeremiah alihukumiwa adhabu hiyo na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Novemba 28, 2022 alipotiwa hatiani kwa mauaji ya Hawa yaliyotokea Septemba 24, 2017 katika eneo la Sing’isi wilayani Arumeru, mkoani…

Read More

Kamati ya Bunge yaridhishwa na soko la madini Mirerani

Mirerani. Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imeridhishwa na mradi wa ujenzi wa soko la madini ya Tanzanite lililopo mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Timotheo Mnzava, ametoa kauli hiyo leo Jumapili, Machi 16, 2025 baada ya kutembelea na kukagua jengo hilo amesema hii ni…

Read More

Mafundi nguo wenye ulemavu wapata dili Sabasaba

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Kuona ni kuamini ndivyo unavyoweza kusema kutokana na umahiri unaooneshwa na vijana wenye ulemavu waliohitimu fani ya ushonaji, ubunifu na teknolojia ya nguo kutoka vyuo vya Veta ambao wamepata fursa ya kuwashonea washiriki na watembeleaji wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu Sabasaba. Vijana hao Riziki Ndumba na…

Read More

Mlipuko kiwanda cha TOL Mbeya wasababisha hasara

Mbeya. Mlipuko ulitokea kwenye mtambo ya kaboni katika kiwanda cha gesi cha Tanzania Oxygen Ltd (TOL) kilichopo kwenye wilayani Rungwe, mkoani hapa umesababisha uharibifu mkubwa wa kiwanda hicho na miundombinu inayozunguka. Hata hivyo, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Daniel Warungu, amewahakikishia umma kuwa hakuna vifo wala majeraha makubwa yaliyotokea wakati wa tukio hilo na kwamba shughuli…

Read More

Mmoja auawa na mwili wake kutelekezwa kichakani Kigoma

Kigoma. Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Maneno Bufa, mkazi wa Gezaulole ameuawa na watu wasiojulikana, kisha mwili wake ukiwa na majeraha na kutelekezwa eneo la relini, jirani na chanzo cha maji cha Nyakageni, Manispaa ya Kigoma Ujiji. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Filemon Makungu amekiri kutokea kwa tukio hilo. “Nipo ziarani, nitakaporejea nitatoa…

Read More