Mabadiliko Ofisi ya Rais yalivyowaibua wadau

Dar es Salaam. Mabadiliko aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan Juni 6, 2024 yamewaibua wadau na wachambuzi wa masuala ya siasa na utawala, baadhi wakishauri uchunguzi wa kina uwe unafanyika kwa wateule wa Rais, ili kuepusha mabadiliko ya mara kwa mara. Wamesema Ofisi ya Rais inatakiwa kuwa na utulivu, hasa wakati huu nchi inapoelekea kwenye uchaguzi…

Read More

NCHIMBI AWASILI TANGA, KUHITIMISHA MIKOA 5

Matukio mbalimbali katika picha wakati Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi alipowasili na kupokelewa Mkoa wa Tanga, kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili katika mkoa huo, akitokea Mkoa wa Kilimanjaro. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, Ndugu Rajab Abdulrahman Abdallah, aliwaongoza wanachama na viongozi wa…

Read More

RIPOTI MAALUM: Janga, Watoto katika uraibu wa michezo ya kamari

KATIKATI ya eneo la Mwandege Magengeni, wilayani Mkuranga mita 20 tu kutoka msikitini, kuna kituo cha michezo ya kubahatisha kinachoonekana kuwa cha kawaida. Ndani, watu wazima na watoto wanakusanyika karibu na mashine za kupangia pesa (slot machines), macho yao yakielekezwa kwenye skrini, wakiwa na matumaini ya kupata pesa za haraka kupitia mchezo wa kubahatisha. Mahali…

Read More

UHALIFU SIO DILI KILA MMOJA AUCHUKIE UHALIFU

Wananchi wa Kata ya Itumpi Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wametakiwa kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi katika suala la ulinzi kwa kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu ili jamii iwe salama. Hayo yalisemwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga Juni 07, 2024 alipotembelea Kata hiyo…

Read More

Msuva: Tunaitaka nafasi ya Kombe la Dunia

Mshambuliaji wa Taifa Stars, Saimon Msuva amesema wachezaji wapo tayari kwa ajili ya kupambana ili kupata matokeo yatakayowaweka kwenye nafasi nzuri kufuzu kushiriki Kombe la Dunia. Stars wataanza ugenini dhidi ya Zambia mchezo unaotarajiwa kuchezwa Juni 11 mwaka huu na wanaendelea kujiweka fiti tayari kwa mchezo huo. Akizungumzia muda mchache kabla ya kuanza mazoezi alisema…

Read More

Polisi yakamata toy zinazotumika kufanyia uhalifu

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imemkamata Hassan Yahya ‘Kobra’ na wenzake watatu wakiwa na toy ambazo wanazitumia kama silaha katika kufanya uhalifu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 7,2024, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amezitaja toy hizo huwa ni…

Read More