Expanse Kasino Tournament ipo Ukingoni Milioni moja Kunyakuliwa

  SHINDANO la Expanse kasino linaelekea ukingoni ambapo ni dhahiri milioni moja taslimu ambayo ilikua ikishindaniwa ipo mbioni kutoka, Cha kufanya wewe mdau wa michezo ya kasino endelea kucheza michezo ya kasino uweze kuibuka mshindi. Meridianbet kwa mara nyingine tena wanakuletea shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi ataondoka na kitita cha…

Read More

Wanaojitolea katika taasisi za umma hii hapa neema

Dodoma. Serikali imetangaza kuanza rasmi utekelezaji wa mwongozo wa kuwatambua na kutoa kipaumbele kwa wanaojitolea katika kazi mbalimbali, hasa pindi zinapotokea nafasi za ajira. Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Deus Sangu, aliliambia Bunge leo, Ijumaa Mei 2, 2025, kwamba mwongozo huo utaanza kutumika rasmi kuanzia Julai Mosi, 2025. Naibu Waziri alikuwa akijibu swali…

Read More

Waziri Mkuu atembelea mazoezi Stars

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Oktoba 7,2024 ametembelea mazoezi ya timu ya Taifa, Taifa Stars inayojiandaa na michezo miwili ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 dhidi ya DR Congo itakayochezwa Oktoba 10 na 15, 2024. Taifa Stars inafanya mazoezi kwenye Uwanja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar es Salaam. Akizungumza…

Read More

Aliyeua mke, mtoto kuwafukia shambani ahukumiwa kifo

Arusha. Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Haridi Ntamoye, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mke pamoja na mtoto wake kisha kuwafukia kwenye shimo shambani kwao. Miili ya Ashura Moshi (mke) pamoja na mtoto wao, Alibika Khalid, iligunduliwa shambani humo ikiwa imeanza kuharibika. Hukumu hiyo imetolewa jana Machi 10,…

Read More