
BALOZI NCHIMBI ASIMAMISHWA HEDARU, ASISITIZA UMOJA WA KITAIFA
Msafara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, leo Ijumaa Juni 07, 2024 akiwa njiani kuelekea Tanga, baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku nne Mkoa wa Kilimanjaro kwa kufanya mkutano wa ndani Wilaya ya Same, umesimamishwa na wananchi katika eneo la Hedaru, wakitaka awasalimie. Akiwa hapo…