
Waitara alia na walimu wa lugha
Dodoma. Mbunge wa Tarime Vijijini (CCM), Mwita Waitara amesema kuna changamoto ya walimu waliobobea kwenye ufundishaji wa mtalaa mpya kwa sababu wengi waliopo wanauelewa mdogo. Waitara alikuwa akichangia mkadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2025/26 bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu Mei 12, 2025. Makadirio hayo yamewasilishwa na…