
Serikali yataja ukomo wa michango kidato cha tano
Dodoma. Serikali imetoa ukomo wa michango kwa wanafunzi wanaojiunga na masomo ya kidato cha tano kuwa ni Sh80,000 kwa shule za bweni na Sh50,000 kwa shule za kutwa. Ukomo huo umetajwa leo Juni 7, 2024 na Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Zainab Katimba bungeni…