
CAMAC WAKUTANA NA WADAU MBALIMBALI KUJADILI SHERIA NA HAKI ZINAZOGUSA AFYA YA UZAZI
WADAU mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini, baadhi ya wabunge na Umoja wa Mashirika yasiyo ya Serikali (CAMAC) wamekutana na kujadili sheria na haki zinazogusa Afya ya Uzazi. Katika mkutano huo iliongelewa kuwa kuna umuhimu wa kuwasaidia wasichana na wanawake waliopata mimba kutokana na ukatili kama kubakwa,maharimu na shambulio la ngono.Wahanga hawa kusaidiwa ili kuepusha utoaji…