
Wamshukuru Mbunge Toufiq kwa mitungi ya Gesi ya Oryxy
Na Ramadhan Hassan, Chamwino WAJASIAMALI waliopatiwa mitungi ya gesi aina ya Oryxy na Mbunge wa Viti Maalum, Fatma Toufiq (CCM) wameahidi kuachana na matumizi ya kuni na kujikita katika matumizi ya nishati safi ya kupikia. Juni 6,2024 Mbunge huyo alikabidhi mitungi 200 yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 9 kwa wajasiriamali na viongozi wa…