
Walioiba chaja ya baiskeli, wahukumiwa kifungo cha nje
Dar es Salaam. Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, imemuhukumu Naufali Ramadhani (22) na Abubakari Chiputa, kifungo cha nje cha miezi sita kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa chaja ya baiskeli na extension cable. Pia, Mahakama hiyo imeamuru chaja hiyo pamoja na extension cable arudishiwe mlalamikaji, ambaye ni Idriss Mustafa. Uamuzi huo umetolewa…