
Atupwa jela miezi 18 kwa kufanya kazi nchini miaka 10 kinyume cha sheria
Dar es Salaam. Dereva wa kampuni ya Ulinzi ya SGA, Dishon Wanyonyi (48) amehukumiwa kulipa faini ya Sh1.2 milioni au kwenda jela miezi 18, baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka matatu likiwemo la kuwepo nchini kinyume cha sheria. Wanyonyi ambaye ni raia wa Kenya amehukumiwa adhabu hiyo, leo Alhamisi Juni 6, 2024 katika Mahakama…