
TAKUKURU YATAKIWA KUANDAA MKAKATI SHIRIKISHI NA ASASI ZA KIRAIA KUPAMBANA NA RUSHWA UCHAGUZI UJAO
Raisa Said, Tanga TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetakiwa kuandaa mkakati shirikishi na asasi za kiraia na mashirika yasiyo ya kiserikali mkoani Tanga ili kupambana na rushwa wakati wa uchaguzi ujao. Wito huu wa kuchukua hatua ulitolewa wakati wa semina ya siku moja iliyoandaliwa na TAKUKURU Julai 26 na kuhudhuriwa na viongozi…