
Rais Samia Amtembelea Dr. Mabodi Hospitalini Dodoma – Global Publishers
Last updated Aug 23, 2025 Dodoma, Agosti 22, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtembelea Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dkt. Abdallah Juma Sadala (Mabodi), aliyelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma. Ziara hiyo…