Adam anausoma mchezo Azam | Mwanaspoti
MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Adam Adam amesema kutokupata nafasi ya kucheza sio kwamba ameshuka kiwango na anaendelea kupambana kupambana kuhakikisha muda wote anakuwa fiti, ikitokea nafasi awe msaada kwa timu. Adam alisema kipindi anapata nafasi ya kuanza, washindani wake wa namba walikuwa wanakaa benchi, pia kila kocha anakuwa na chaguo lake, lakini jambo la msingi…