
AU watambua jitihada za Rais Samia na Ulega kuwainua wavuvi
UMOJA wa Afrika (AU) na Shirika la Kilimo na Chakula (FAO) wamemtambua Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, kama vinara wa kuwapambania wavuvi wadogo Afrika, ikiwa ni mwendelezo wa Mkutano wa Kimataifa wa wavuvi wadogo uliofanyika kwa siku mbili, Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea)….