
WANANCHI WA KATA YA LITUMBANDYOSI MBINGA WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA KITUO CHA AFYA
Baadhi ya majengo ya kutolea huduma za afya katika kituo cha afya Litumbandyosi kata ya Litumbandyosi Halmashauri ya wilaya Mbinga mkoani Ruvuma ambayo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Sh.milioni 500 kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri hiyo. Afisa Muuguzi wa kituo cha afya Litumbandyosi Halmashauri ya wilaya Mbinga mkoani Ruvuma Songela Songela kulia,akimuonyesha Mganga Mkuu…