
Ziara ambayo tuliambatana na rais Samia Suluhu imetupatia ‘connection’na wadau Filamu wa Korea
AyoTV imefanya mahojiano na Muigizaji staa wa Filamu Elizabeth Michael (Lulu) leo kuhusiana na ziara ambayo waliambatana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea May 31, 2024. “Kikubwa tumepata connection na ni connection ambayo imetoka kwa Rais, Rais ndie ametukutanisha na wadau Filamu wa Korea kwa…